Caroline Chikezie

Caroline Chikezie
Amezaliwa Caroline Chikezie
19 Februari 1974 (1974-02-19)
Nigeria
Kazi yake Mwigizaji

Caroline Chikezie (alizaliwa mnamo mwaka 1974) ni mwigizaji wa nchini Uingereza mwenye asili ya Nigeria. Amejulikana vyema kwa kucheza kama Sasha Williams katika filamu ya As If na Elaine Hardy in Footballers' Wives.[1] Katika miaka ya hivi karibuni amejipatia umaarufu mkubwa akicheza kama mhusika mkuu kwenye the Nigerian series The Governor

  1. "Footballers Wives". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-09. Iliwekwa mnamo 2020-10-31.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy